ADAM JUMA AISIFU VIDEO YA FID Q

ADAM-JUMA-2

Director mkubwa kutoka hapa Tanzania Adam Juma ambaye ni director aliyechangia zaidi kukuza kiwanda cha video bongo fleva/hiphop.

Visual Lab ni kampuni yake inayoendelea kufanya vizuri katika soko la utengenezaji music video. Adam Juma kupitia mtandao wa picha Instagram aliandika kuhusu kazi mpya ya Fid q Walk off it.

Ambapo ameandika “farid kubanda this dope brother,, punchline za kibaba got respect for this nigga!!$! Sijui nani kashot video but its dope”

fid

wwww.tizneez.com

facebook tizneez

twitter tizneez

youtube tizneez

instagram tiznee\