AAMKA MTANZANIA IPO TAYARI

Screen Shot 2015-08-30 at 11.34.28

Aamka mtanzania ni wimbo uliofanyika maalum kwa uhamasishaji wa watu kujitokeza kupiga kura ili kuchagua viongozi wanaofaa na sio kulalamika baada ya uchaguzi kupita.

Akizungumza na Team tizneez director Mecky Kaloka,alisema”Ni kitu kizuri kimefanyika katika huu wimbo ambao me nimefanya hii video.Lakini pia kile kilichozungumziwa humu ni kitu kikubwa ambacho kinamgusa mtanzania yoyote.”

Aamka mtanzania ni wimbo uliwakutanisha wakali kama,P the Mc, Nikki Mbishi, One incredible, Stereo, Zaiid, Songa pamoja na Wakazi wakati mdundo ukiwa umeandaliwa na mtayarishaji mujwahuki.

Ili uwe wa kwanza kuitazama  endeleea kuwa karibu na team tizneez instagram tizneez twitter tizneez facebook tizniz

chini picha katika utengenzaji wa Aamka mtanzania video

Screen Shot 2015-08-26 at 23.18.12 Screen Shot 2015-08-26 at 23.20.06 Screen Shot 2015-08-26 at 23.23.27 Screen Shot 2015-08-26 at 23.38.08 Screen Shot 2015-08-30 at 11.32.14 Screen Shot 2015-08-30 at 11.34.59 Screen Shot 2015-08-30 at 11.36.17