Cyril Kamikaze Atoa ya moyoni kwa watangazaji

Nikimuona

Cyril Kamikaze Atoa ya moyoni kwa watangazaji

Shori ni wimbo wake wa mwisho kutoa, ambao ni wazi hakufanya vyema katika vituo vya radio mpaka runinga hapa nchini.

Kupitia mtandao wa Twitter msanii tokea kundi la wakacha ameandika”Natamani urudi ule wakati nafungua radio presenter ana pambanisha ngoma kali ya nani week hio.. Sio nani ana demu mkali kuliko mwenzake”

Cyril amewahi kufanya vyema na wimbo kama, nafanya, Nimerudi pamoja na nyingine nyingi.

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez