20% Pamoja tena na Man Water kwa miaka 5

CmlVRqeWIAABfCF.jpg large

20% Pamoja tena na Man Water kwa miaka 5

Ni miaka michache nyuma ambapo nyota ya 20% iliwaka na kuweza kuchukua tuzo 5 akiwa ndiye msanii wa kwanza kuchukua tuzo nyingi tangu kuanzishwa kwa tuzo hizo za Ktma.

Kabla ya baadae kutoweka ndani ya Combinatioj Sound ambapo baada ya hapo anguko lake lilifuta.

Mapema leo kupitia mtandao wa picha wa “Instagram” mtayarishaji na mmiliki wa Combination Sound Man Water ameandika “20% is back kaa mkao wa kula ngoma zenye jumbe nzito na za kusisimua kila kitu kipo sawa new page”. Pia aliongeza kwa kuandika tena “

20% amerudi kombinenga na kusign kikazi rasmi, najua watu walimis nyimbo ujumbe na kupendwa na rika zote.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez