Wimbo Like a star Msanii King Saver

King Saver ni msanii kutoka Tanzania Dar es salaam (Tabata) ambapo kwa sasa yupo Hong kong katika harakati zake za maisha, lakini hajautupa muziki ambao tangu yuko Tanzania alikuwa akifanya.

Like a star ni wimbo wake ambao ameachia nyakati hizi, na tumeona yafaa sisi kukuweka upate usikivu imara. Maana kauli mbiu yetu ni #MuzikiNiSisi vivyo kama King Saver yuko Hong Kong na inaiwakilisha bongo fleva kwanini tusiseme na kuuweka?

Wimbo ni huu hapa chini/sikiliza/pakua