Throback Music SIMBA DUME By AFANDE SELE Feat FEROOZ

AfandeSele2004 alishinda tuoz ya Mfalme wa rhymes ambayo anaishikilia mpaka leo hii 2016.Afande Sele ambaye pia ni miongoni kati ya wasanii wachache waliotengeneza njia ya mziki huu wa bongo fleva/hiphop.Leo tema tizneez katika throback music tumekuweka wimbo huu kwa lengo la kuendelea kumpa heshima kwa kile alichofanya.

Wimbo unaitwa simba dume ulitoka miaka kadhaa nyuma ukiwa umeandiliwa na P funk Majani na kiitikio cha wimbo huu ameimba Ferooz.