PigaChata Artists: Fid Q, Mwasiti, Izzo Bizness, Young D, Shilole, and Shaa

20151009033858

Artists: Fid Q, Mwasiti, Izzo Bizness, Young D, Shilole, and Shaa
RevoNation / 41 Records
Produced by Mandugu Digital
Video Directed by Hanscana

Wimbo maalum kwa vijana wa Tanzania; tushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi mkuu wa 2015. Kura yetu ndio sauti na nguvu yetu. #PigaChata

Dedicated to young eligible voters in Tanzania: the 2015 general election is here – no vote, no voice! October 25, let’s turnout for a brighter future of our country.