Pakua Kachi-Presidential Kinda Stuffs

Kachi mkali kutoka Mji Kasoro bahari (Morogoro) ameachia EP yake ya kwanza Presidential Kinda Stuffs yenye jumla ya nyimbo 9 zilizoshiba ambazo zimefanywa na waandaaji tofauti tofauti. Unaweza kupakua wimbo mmoja mmoja au EP yote hapa hapa.

 

Presidential Kinda Stuffs

Bonyeza hapa kupakua Presidential Kinda Stuffs ⬇️ EP yote.

Attachment