MYCOELY – MOVING ON ( AUDIO & LYRICS)
Artist : Mycoely
Song : Moving on
Verse 1
Nilikupa moyo wangu wote kama ulivyo (kama ulivyo)Girl
Kusingekua na vyangu Tungekua na vyakwetu mimi nawe (mimi nawe)
Bridge
Usiku ni mwezi mchana jua moyoni ni wee taa zishaungua
umeruka umeenda ndege umekimbia Ntauguza tu kidonda maa
Go baby
Chorus
Nenda kwa unaempenda
I’ll try to move on
Kama huzuni yangu furaha yako
kawe na furaha
Ntampata atayenipenda sing’ang’ani na wewe I’moving on I’m moving on Hukuwa fungu langu
Vere 2
Subira iliyovuta heri
sasa mbona siioni ni maumivu moyoni umejaa choyo
Ila niwe mkweli I’ve chosen to move on japo mwingine simuoni
wa kumpa moyo
Bridge
Usiku ni mwezi mchana jua moyoni ni wee
taa zishaungua umeruka umeenda ndege umekimbia Ntauguza tu kidonda maa Go baby
Chorus
Nenda kwa unaempenda
I’ll try to move on Kama huzuni yangu furaha yako kawe na furaha
Ntampata atayenipenda sing’ang’ani na wewe I’moving on I’m moving on Hukuwa fungu langu
Bridge
Usiku ni mwezi
mchana jua moyoni ni wee taa zishaungua
umeruka umeenda ndege umekimbia
Ntauguza tu vidonda maa Go baby
Chorus
Nenda kwa unaempenda
I’ll try to move on Kama huzuni yangu furaha yako kawe na furaha
Ntampata atayenipenda sing’ang’ani na wewe I’moving on I’m moving on Hukuwa fungu langu