LOWASSA Mp3 BY NEY WA MITEGO

IMG_2541

Ney wa mitego ni msanii wa muzik wa hip hop kutoka Tanzania.Licha ya kumuimbia wimbo rasmi mgombea wa nafasi ya urais kupitia tiketi ya chama cha Chadema (Ukawa) tayari alishawahi kumtaja mara nyingi katika nyimbo zake kuonyesha kama anamthamini zaidi ameamua kutoa wimbo maalum kwa Mh Edward Lowassa

Unaweza kuwa rafiki yetu faceboo.com/tizniz

instagram.com/tizneez

twitter.com/tizneez