Download New Song!Nataka Gari by O.M.G

Baada ya kuachia D.O.D huu ni ujio wetu mwengine officially kabisa. ni wazi kuwa vijana wengi wanandoto za kumiliki gari kwa tunaona wazi umuhimu wa gari kama kupunguza safari n.k . basi na sisi tukaona hatuna budi kuzungumzia sisi tukipata magari tutayafanyia nini.. majibu yote utayasikia kwenye wimbo.. ahsante

Download New Song!Nataka Gari by O.M.G