Sifa pekee haziwezi kumsaidia Nikki Mbishi.

Sifa pekee haziwezi kumsaidia Nikki Mbishi.

Nikki Mbishi sasa anapokea ‘Oda mapema’ ya ‘Sam Magoli The Project ambapo ni album na T-shirts.

Ambapo bei ni shilingi elfu kumi za kitanzania kwa cd moja, lakini t-shirts kwa shilingi elfu ishirini.

Na ambao watalipa wataandikwa majina na kuweza kufikishiwa bidhaa hizo mara tu zinapotoka rasmi.

Hivyo unaweza mtafuta Nikki Mbishi kwa nambari hizi za simu ya kiganjani ambazo ni :0756837683/ 0786655677.

Ni muda sahihi sasa wa kuonyesha nguvu ya ushabiki sio maneno ya kwenye mtandao yale ya wewe noma sana wewe mkali yani hakuna kama wewe.

Sifa hizi haziwezi kumsaidia Nikki Mbishi, bali ununuzi wa kazi zake kwa nyakati utamsaidia kwa usawia.

Ni vyema ununuzi wa kazi uongee zaidi kuliko maneno matupu yenye sifa ambazo hazina faida kwa msanii.

Nunua kazi ya msanii ukuze sanaa yake kwa upana zaidi, nyakati ni hizi yafaa tumuunge mkono Nikki Mbishi.
#TuzungumzeMuziki