Noorah ni msanii aliyekuwa mbele ya muda kwenye muziki

Noorah ni msanii wa hiphop ambaye alikuwa mbele ya muda katika muziki.

Lakini nyakati hizi amepotea vyema kwenye uwanja wa muziki.

Katika mitambao yenye ladha ya usasa ni wazi Noorah alikuwa mbele ya muda, maana nyakati hizi za mitandao ‘ladha’ aina yake ndiyo pendwa .

Lakini si mitambao pekee bali hata aina ya uandishi wake katika nyimbo zake zote, kama Ice Cream, Mapenzi Sinema, Baba Style, Ukurasa wa pili, Vijimambo na nyingine nyingi hakika alikuwa mbele ya muda.

Huenda Noorah akawa si msanii mwenye kuhitaji kufanya muziki kwa nyakati hizi, lakini muziki unamuhitaji zaidi Noorah.

#TuzungumzeMuziki