“Maua Sama ni yeye na muziki wake”

“Maua Sama ni yeye na muziki wake”

Muziki umekua na kipimo kimoja wapo ni ongezeko la wasanii kwenye uwanja wa muziki, ingawa ni wazi wengi wamekuwa wakiharibu muziki huu.

Moja ya vitu vibaya ambavyo vinaharibu muziki ni kuwepo kwa muziki na jambo jingine baya kwa upande wa wasanii walio wengi.

Jambo hilo lingine ambalo msanii humtangulia mbele ni jambo ambalo kwa hakika halina maana kwenye muziki bali msanii kuona lina maana kwa namna ya kusukuma muziki wake.

Hivyo wasanii wengi hufanya mengi ya hovyo katika kusukuma muziki wake, ilihali si kweli maana wapo wasanii kama Maua Sama ambao hawafanyi mengine zaidi ya muziki wake na tunaona kwa upana ambavyo anapanda kimuziki lakini anapanda na heshima yake.

Ni wazi hakuna kingine zaidi ya #MauaSamaNaMuzikiWake.

2018 ni vyema Media kutazama zaidi muziki na kuyafumbia macho mambo mengine ambayo hayawezi kutupeleka mbele kimuziki.

Na daima waswahili husema “Usipotaka kuumiza akili utaumiza mwili”

#TuzungumzeMuziki.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa