Lady Jaydee atabaki kuwa msanii bora wa kike nyakati zote kwa mambo 4

Lady Jaydee atabaki kuwa msanii bora wa kike nyakati zote kwa mambo 4.

Hakika “Mwendo pole hajikwai, akijikwaa haumii” Na kweli si inatuweka huru? sasa ya nini tusiinene? hapana yapasa tunene nyakati zote.

Ni wazi maisha ya sanaa ni magumu mno katika kujenga kaya yenye uwezo wa kukufanya uishi nyakati zote.

Lakini ni rahisi kuiboma kaya hiyo kwa sekunde chache bila umakini wa hali ya juu.

Ni nani ambaye hajui mafanikio ya Lady Jaydee katika muziki lakini nje ya muziki? hakika hayupo.

Lakini swali la msingi ni namna gani ameweza kukaa kwenye muziki akiendelea kupanda kila leo tangu mwaka 2000 mpaka sasa 2018?.

Ni wazi yapo mengi lakini machache yenye mengi ndiyo yameweza kumfanya aendele kuwepo, huku akiendelea kutengeneza wafuasi.

Na wafuasi wake wamekuwa ni wenye kumpa nguvu nyakati zote hata akiandaa shoo zake wengi huenda kwa hali ya ukubwa.

Na hii ni imetokana na mambo makuu manne ambayo yanampa nafasi ya kuwa msanii bora wa kike nyakati zote.

Na tumeona tuyaweke katika uhesabu ili kila msanii ajifunze katika kweli hii.

Hakika jambo la kwanza ni 1. Kujitambua
2. Uvumilivu
3. Nidhamu ya kazi
4. Kuvishinda Vikwazo

#TuzungumzeMuziki