Ikitokea zaidi ya ‘Wapo’ ya Ney wa Mitego hakika itakuwa ni wimbo wa Taifa.

Ikitokea zaidi ya ‘Wapo’ ya Ney wa Mitego hakika itakuwa ni wimbo wa Taifa.

Amini twaambieni sikio la msikilizaji latamani kusikia tungo zenye uhalisi wa wazi katika kila leo ya uisho wetu.

Lakini kosekano ni kubwa la tungo hizo zenye uhalisi wa uisho wa wengi bali sifu ya pombe na ngono ndiyo imeshika hatamu sasa.

Lakini ni wazi upana wa nguvu ya wimbo wa ‘Wapo’ unaonyesha ni jinsi gani sikio la shabiki linavyohitaji tungo za namna hiyo.

Na kipimo cha wimbo huu wa ‘Wapo’ ni katika matumbuizo mengi afanyayo Nay wa Mitego hakika mashabiki hulipuka kwa shangwe kubwa katika wimbo huu.

Wajuzi wanaamini kabisa yakuwa sasa kiu ya mashabiki ni pana katika tungo zenye uhalisi wa hali halisi.

Hivyo kwa msanii yoyote ambaye ataamua kuinena kweli ya sasa kwenye tungo hakika wimbo huo utakuwa ni wimbo wa Taifa.

Lakini imani ya wajuzi iko zaidi kwa Nay wa Mitego na hii ni kutokana na taswira yake ya kuivua hofu na kuishi katika uisho wa uhalisi.

Nay nyakati hizi ni zako chukua watu wako uende zako kwa upana wa uhalisi, hakuna cha kupoteza bali tungo zenye uisho.

#TuzungumzeMuziki