Enyi! madj toshekeni na mishahara yenu.

Enyi! madj toshekeni na mishahara yenu.

Kupenda mno rushwa mnaharibu muziki hatuwezi kusonga mbele kwa mikono yenu wengi kuwa mirefu katika kupokea fedha na sio nyimbo bora.

Na ajabu kama msanii hajatoa fedha ni ngumu wimbo wake kuchezwa kabisa na Dj (Uhalisi)

Lakini nguvu ambayo mnatumia kumpiga Davido vipi anawapa fedha?

Sasa kipi kinafanya mshindwe kucheza kwa upana kazi za wasanii wetu?

Tuanze nyumbani kwanza hatuwezi kukuza muziki kama nguvu ya uthamani iko upande wa nje.

Ni vyema mtazame kazi ya msanii kwa mapana yake na sio rushwa (Fedha) iwe ndo kigezo husika, hapana hatuwezi kwenda hivyo.

Ni vyema mtosheke na mishahara yenu, ruhswa haiwezi kukuza muziki bali muziki wenye ujazo wa muziki halisi.

#TuzungumzeMuziki