Young Killer Aeleza sababu za kushindwa kutoa wimbo kwa wasanii wa Label yake.

Young Killer Aeleza sababu za kushindwa kutoa wimbo kwa wasanii wa Label yake.

Msanii wa muziki wa Hiphop Yooung Killer ambaye ni moja kati ya vijana wadogo ambao wanauwezo mkubwa na mkamilifu kwenye muziki wa hiphop.

Upepo wa Record Label ni upepo ambao umevuma vyema na tunaona kila msanii akijaribu kufanya jambo hilo. Young Killer ni miongoni mwa wasanii ambao walianzisha Matunzo Zero Unit ambapo tangu kuanzishwa kwake hakujawahi kutoka kwa wimbo wowote ule au msanii.

Team Tizneez ilizungumza na Young Killer juu ya ukimya huo na haya yalikuwa ni majibu yake.

Msikilize hapa chini.

 

#TuzungumzeMuziki

Je!Young killer amefikia level za kuwa na Record Label?

 

 

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Tuachie maoni yako hapa