“Wasanii wanaangalia jina kuliko maisha bora” Ruby

“Wasanii wanaangalia jina kuliko maisha bora” Ruby

Huwezi kutaja vipaji vipya na bora katika muziki wa kizazi kipya bila kutaja jina la Ruby.

Ruby ni msanii ambaye ameibuka miaka ya hivi karibuni na ameonekana kutambua haki zake mapema mno kulinganisha na wasanii wengi.

Licha ya mengi ambayo yanaendelea sasa kama kuwa kimya kwa muda mrefu Team Tizneez haikuacha kumtafuta Ruby na kuzungumza kile ambacho anakiona kwenye Sanaa ya muziki na maisha ya wasanii wengi.

Ambapo Ruby amejibu

Sikiliza hapa chini.

 

#TuzungumzeMuziki

 

 

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Tuachie maoni yako hapa