Wasanii wa P Funk Majani waeleza sababu za ukimya wao.

Wasanii  wa P Funk Majani waeleza sababu za ukimya wao.

Bongolos ni wasanii ambao wako chini ya Bongo Record ambao ni wasanii halali wa P Funk Majani.

Wape ni wimbo wao ambao uliwatambulisha vyema kwenye ramani ya muziki wa kizazi kipya. Lakini tangu kutoka kwa wimbo huo Bongolos wamekuwa na ukimya mrefu licha ya muziki wa sasa kuhitaji wimbo baada ya wimbo.

Tumezungumza na mmoja kati ya wasanii ambao wanaunda Bongolos ambapo yeye amesema.

Msikilize hapa chini.

#TuzungumzeMuziki.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa