“Wasanii mchague kiki au muziki, lakini kiki zitawagharimu”Rama Dee.

“Wasanii mchague kiki au muziki, lakini kiki zitawagharimu”Rama Dee.

Team Tizneez tumefanya mahojiano na msanii wa rnb Rama Dee ambaye wakati wote amekuwa amesimamia Zaidi muziki wake ni si kiki kama wafanyavyo wengi.

Team Tizneez katika mahojiano yetu tumemuuliza Rama Dee vitu vitatu tu.

Kuhusu kurudi wimbo wa Gnako ambapo ulikuwa waitwa Nuru, nini kilifanya arudie wimbo huo?

Lakini swali la pili ni kwa namna gani ameweza kuwepo pale alipo bila kufanya kiki ya aina yoyote ile?.

Na upi ni ushauri wake juu ya mambo yanayofanyika kwa upande wa kiki?

Sikiliza hapa chini majibu yake.

 

 

#TuzungumzeMuziki

 

 

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Tuachie maoni yako hapa