“Sijui kama Nandy anatumia nyimbo zangu” Ruby

Kumekuwa na maneno mengi yakuwa msanii Nandy anatumia nyimbo za Ruby ambazo aliwahi kurekodi akiwa chini ya THT. Ambapo imekuwa ikisemekana yakuwa msanii Ruby sauti yake inafutwa na hatimaye wimbo huo kurekodiwa na Nandy tena.

Ikumbukwe miaka kadhaa nyuma Ruby alijtoa katika uongozi wa THT na kuendelea kujisimamia mwenyewe katika kazi ya sanaa. Na hapo ukawa mwanzo mzuri wa kuibuka msanii Nandy ambaye kwa sasa ni moja kati ya wasanii wa kike ambao wanafanya vyema kwenye ramani ya muziki wa kizazi kipya.

Team tizneez ilitamfuta Ruby na kuzungumza nae juu ya maneno hayo ambapo katika kueleza uhalisia ukoje Ruby amesema. Sikiliza hapa chini,