Sababu za kushuka kimuziki kwa upande wa Jiji la Tanga.

Sababu za kushuka kimuziki kwa upande wa Jiji la Tanga.

Ni wazi katika miaka kadhaa nyuma Jiji la Tanga lilikuwa likiongoza kwa kutoa wasanii wengi katika muziki wa kizazi kipya. Lakini miaka ya karibuni imeonekana Tanga kuporomoka kimuziki kwa kasi kubwa.

Team Tizneez ni kawaida yetu kwenda mikoani na kujua mambo mengi kuhusu maendeleo ya Sanaa ya mkoa husika.

Baada ya kuwa Kigoma sasa tumefika Tanga na tukaweza kuongea na wasanii husika wa Tanga. Na mmoja wapo ni Dk leader ambaye wimbo wa Mimi ni msambaa uliweza kumfanya atambulike vyema kwenye ramani ya muziki wa kizazi kipya.

Dk Leader ameimbia Tizneez sababu za muziki wa Tanga kushuka na kupotea katika ushindani.

Msikilize hapa chini.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa