Ruby Aeleza jambo ambalo halipo sawa kwenye muziki

Ruby Aeleza jambo ambalo halipo sawa kwenye muziki

Team Tizneez tumezungumza na Ruby ambaye ni msanii wa muziki wa kizazi kipya. Ruby hakusita kuweka hisia zake juu ya mambo ambayo anaona kwenye muziki hayapo sawa.

Sikiliza kwa urefu hapa chini.