Rosa Ree Atoa ufafanuzi juu ya kufananishwa na Stella Mwangi

Rosa Ree Atoa ufafanuzi juu ya kufananishwa na Stella Mwangi

Rosa Ree ni moja kati ya wadada ambao wanapeperusha vyema bendera ya hiphop hapa Tanzania lakini nje ya Tanzania.

Licha ya kupeperusha vyema bendera yetu lakini wengi wamekuwa wakifananisha na Stella Mwangi.

Ambao wengi husema yakuwa anamuiga vyema mwadada Stella Mwangi. Team Tizneez tumezungumza na Rose Ree hapa ametoa majibu yake.

Msikilize hapa chini.

 

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa