Rosa Ree Aeleza tofauti yake yeye na wasanii wengine.

Rosa Ree Aeleza tofauti yake yeye na wasanii wengine.

Licha ya kuandika maandiko mengi lakini hufanya mahojiano mengi na wasanii wengi. Rosa Ree ni moja ya wasanii wa kike wa rap ambao wanafanya vyema sasa.

Lakini ni wazi ameonekana kupata mafanikio makubwa katika muda mfupi, hivyo team Tizneez tulitakakujua tofauti yake yeye na wasani wengine wa kike ni ipi?

Rose Ree anaeleza hapa.

Msikilize hapa chini.