Nikki wa Pili Atoa mtazamo kukosekana kwa marapa wa Tanzania katika list ya XXL Africa Magazine.

Nikki wa Pili Atoa mtazamo kukosekana kwa marapa wa Tanzania katika list ya XXL Africa Magazine.

XXL Africa Magazine imetoa list ya marapa 10 ambao  ni AKA, Sarkodie, Cassper Nyovest, Phyno, Nasty C, MI, Kwesta, Ice prince, Emtee, na M anifest.

Katika list hii haikuhusisha rapa yoyote kutoka Tanzania, Team Tizneez imeweza kumoa kipaza Nikki wa Pili kuweza kutoa mtazamo wake juu ya hili.

Msikilize hapa chini.

#TuzungumzeMuziki

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Tuachie maoni yako hapa