Nikki wa Pili Asikitishwa na wasanii kutoitikia wito wa Waziri.

Nikki wa Pili Asikitishwa na wasanii kutoitikia wito wa Waziri.

Hii ni interview ambayo tumefanya na Nikk wa pili msanii kutoka kundi la Weusi ambapo Team tizneez tulihoji juu ya muitiko wa wasanii juu wito wa kuzungumza na Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe.

Ambapo Nikki wa Pili amesema.

Sikiliza hapa chini.