Mona Ganster azungumza uhusiano wake wa sasa na Young Killer

Mona Ganster azungumza uhusiano wake wa sasa na Young Killer

Mona Ganster ni mtayarishaji lakini pia mmliki wa studio za Classic Sound ambayo ndiyo studio iliyotoa Young Killer kimuziki.

Lakini baadae kulitokea kutokueelewana kati ya Mona na Young Killer ila awali ukaribu wao ulikuwa mkubwa mno.

Je kwasasa ukaribu wao ukoje?

Sikiliza hapa chini.