Mirium Atoa majibu juu matumizi ya dawa za kulevya kwa Chid Benz

Mirium Atoa majibu juu matumizi ya dawa za kulevya kwa Chid Benz

Maneno ni mengi katika mitandao ya kijamii kuhusu Chid Benz kurudi kwenye matumizi ya dawa za kulevya.

Team tizneez ilifika nyumbani kwake Chid Benz maaneo ya Ilala na kupata wasaa wa kuzungumza na Mirium ambaye alijitambulisha kama msichana wa Chid Benz.

Ambapo Mirium aliweza kuzungumza juu ya tuhuma hizo ambapo ameeleza

Msikilize hapa chini.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa