Mama yake Godzilla aeleza hali ya mwanae sasa.

Maneno ni mengi katika mitandao ya kijamii, magrupu ya wasanii lakini hata katika vilinge vya wasanii kuwa Godzilla hayuko sawa.
Maneno haya yamepelekea jana msanii wa hiphop nikki mbishi kuandika katika mtandao wa Twitter juu ya kuchagua wimbo wa maji ya shingo wa Daz Nundaz uwe maalum kwa Godzilla.
Team tizneez imemtafuta Godzilla kueleza hisia zake juu ya Tweet ya Nikki Mbishi, lakini pia tukaongea na mama Godzilla juu ya hali ya Godzilla na watu kusema kuwa anatumia madawa ya kulevya. Na mama amelitolea maelezo.
Sikiliza/tazama hapo chini.