Maarifa Aeleza mapokeo ya sifa za Madee na Fid Q juu yake.

Maarifa Aeleza mapokeo ya sifa za Madee na Fid Q juu yake.

Maarifa ni moja kati ya wasanii chipukizi ambao wamekuwa gumzo katika vilinge vyote vya hiphop lakini hata nje ya vilinge hivyo.

Licha ya kuwa nyota wa mtaa lakini tunaona sasa namna ya nguvu ya sifa ya anazopewa na msanii Madee na Fid Q.

Wasanii hawa mara nyingi wamekuwa wakiweka wazi hisia zao za kumsifu kijana Maarifa kuanzia ngazi ya mtandao mpaka kwenye Media.

Team Tizneez ilitamfuta Maarifa na kuzungumza na mapokeo yake juu ya sifa hizo ambapo Maarifa amesema

Msikilize hapa chini

 

#TuzungumzeMuziki

 

 

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Tuachie maoni yako hapa