Kipi ni chanzo cha wasanii wengi kuiga muziki wa Nigeria? Sehemu ya II

Kipi ni chanzo cha wasanii wengi kuiga muziki wa Nigeria? Sehemu ya II

Upande wa kwanza tulimsikiliza Chizain Brain akatoa mtazamo wake juu ya wasanii wengi kuiga muziki wa Nigeria zaidi.

Ambapo yeye mtazamo wake ulisema kuwa Media ndiyo chanzo kikuu. Msikilize hapa chini tena kama hujasikiliza.

Chizan Brain.

Team tizneez imeendelea kuzungumza na watayarishaji wa muziki wa kizazi kipya, na sasa tumezungumza na producer mchanga toka Kiri Records na yeye amekuwa na mtazamo wake juu ya chanzo cha wasanii kuiga Nigeria na kosa ni la nani ikiwa Chizan amesema ni Media?

Bea Kutoka Kiri Records Msikilize hapa chini.

Follow Twitter Tizneez

Instagram Tizneez

Facebook Page Tizneez

Youtube Tizneez

www.tizneez.com