Kibabu aeleza makosa aliyofanya Babu Tale kwa Chid Benz

Kibabu wa Poteen ni mtayarishaji tokea Kiri Record ambaye ni moja ya watayarishaji ambao wamekuwa wakifanya vyema zaidi katika midundo ya Hiphop, lakini ana uwezo wa kufanya aina yoyote ya muziki.

Katika yale maneno mengi ambayo yanaendelea sasa kuhusu Chid Benz Team tizneez haikusita kutafuta watu wake wa karibu na kueleza uhalisia wa yote ambayo yanazungumzwa kuhusu Chid Benz, kama amerudia matumizi ya dawa za kulevya.

Kibabu wa Poteen ni  moja kati ya watu wa karibu sasa wa Chid Benz ambaye hakusita kuweka hisia zake wazi juu ya maneno mengi ambayo yanaendelea kuhusu Chid Benz.

Kibabu Ameimbia Team Tizneez

Msikilize hapa chini.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa