Jux Awajibu wanaosema nyimbo zake zina mfanano

Tangu kutoka kwa wimbo wa Fimbo wa Jux wadau na mashabiki wa bongo fleva wamekuwa wakisema tangu kufahamika kwenye muziki wa kizazi kipya ni msanii mwenye kufanana mno katika nyimbo zake.


Team tizneez ikampata Jux na kuweza kuzungumzia maoni ya mashabiki na wadau hao.

Msikilize/mtazame hapa.