Joh Makini aeleza jambo linalowafanya kushindwa kutoa album

Mwaka 2016 Joh Makin na Nikk wa Pili walisema watatoa album ya pamoja. Na sasa ni 2018 na hakuna dalili ya utoaji album ya pamoja wala mmoja mmoja.

Team tizneez imezungumza na Joh Makini ili kueeleza hasa ni mkwamo wa wao kutoa album hiyo?

Ambapo Joh Makin amejibu..Tazama hapa chini