“Hofu iliyotanda kwenye muziki inavunja matumaini ya wengi” Dogo Janja.

“Hofu iliyotanda kwenye muziki inavunja matumaini ya wengi” Dogo Janja.

Kuna mengi ambayo yanaendelea katika muziki wa kizazi kipya, hasa juu ya media kuvipa nafasi vitu ambavyo havina maana wala faida kwenye muziki huu wa kizazi kipya.

Lakini licha ya media ila mashabiki wanaonekana kufurahia Zaidi maswala haya na tunaona namna ya wasanii wengi wenye vipaji vyao wakipotea bila mafananikio.

Dogo Janja ni moja ya wasanii ambao tumezungumza nae juu ya maswala na mtazamo wake juu ya hofu tuliyonayo katika anguko la wasanii wengi ambao wanauwezo mkubwa lakini hawapati muda mzuri wa hewani.

Dogo Janja anasema.

Msikilize hapa chini.