Fid Q Atoa ushauri muhimu kwa waongozaji video wa Tanzania

Fid Q Atoa ushauri muhimu kwa waongozaji video wa Tanzania

Mapema leo katika kipindi cha Ladha 3600 ambacho pia moja ya watayarishaji wa kipindi hicho ni Batro tokea hapa Team Tizneez. Fid Q alikuwepo akitambulisha ngoma yake ya Fresh na Ulimi Mbili ambapo katika mahojiano yake aliongea mengi lakini katika mengi swala ya waongozaji wa video ndiyo swala kubwa Zaidi ambalo hakika hatuna budi kuwaekea hapa watayraushaji wapate kupata ushauri huu mkubwa na muhimu.

Kipindi hiki kimeongozwa na Snah Licious ambapo amesimama kwa niaba ya Jabir Saleh.

Msikilize hapa chini Fid Q akihojiwa na Snah Licious.