Fahamu kitu walichokosa wasanii wa sasa kutokea Dodoma.

Fahamu kitu walichokosa wasanii wa sasa kutokea Dodoma.

Team Tizneez licha ya maandiko mengi ambayo tumekuwa tukiandika lakini huwa tunaenda katika mikoa mingi na kuzungumza na wasanii, watayarishaji muziki lakini pia mashabiki.

Lengo lilikuwa kujua maendeleo ya muziki wa kizazi kipya lakini hata kutoa nafasi kwa wasanii wapya  ambao wapo mikoani.

Hivyo mpaka sasa tumeweza kutembelea mikoa ya Kigoma, Tanga na  Dodoma. Na kila mkoa tumekuta changamoto zake za kimuziki na hata ambao tumezungumza na wamekuwa na majibu tofauti lakini hoja zenye maana.

Dodoma tulipata muda wa kuongea na mtayrishaji wa muziki wa kizazi kipya ambaye anaitwa Double. Yeye hakusita kueleza jambo pekee ambalo wasanii wa sasa wanaotoka Dodoma wanakosea katika muziki wa kizazi kipya.

Msikilize hapa Double.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa