Exclusive: Billnass Aeleza sababu za kufutwa katika wimbo wa Pochi nene wa Ray Vanny

Pochi nene ni wimbo wa Ray Vanny ambao ni wazi umeweza fanya vyema kwenye uwanja wa muziki wa kizazi kipya.

Na katika muda mfupi msanii Ray Vanny aliamua kufanya marudio ya wimbo huo ambapo katika wasanii shiriki Billnass ni mmoja wao katika hatua za mwanzo.

Lakini katika shangazo kubwa ni katika mwisho wa wimbo huo ambapo Cover ya wimbo huo haikumuonyesha BillNass. Na wengi wamekuwa wakisema yakuwa Billnass amefutwa katika wimbo huo.

Team Tizneez imezungumza na Billnass kwa njia ya simu ambapo ameiambia Tizneez..

Sikiliza hapa.

 

Attachment