Enika Atoa ushauri kwa wasanii

Enika Atoa ushauri kwa wasanii

Baridi kama hii ni wimbo wake ambao umebaki kama alama ya kumtambulisha vyema mwadada Enika.

Lakini amejijengea jina pia katika nyimbo nyingi ambazo aliweza kushirikishwa na wasanii wengine. Na moja kati ya chorus pendwa kutoka kwake kwenda kwa watu wengi ni chorus ya Hawatuwezi ambao ni wimbo wa Nako 2 Nako.

Enika ambaye sasa amejikita kwenye Sanaa ya maagizo ya jukwaani hakuwa mzito kutoa ushauri kwa wanamuziki wengi wa sasa lakini kwenye Sanaa ya muziki kwa ujumla.

Akiongea na Tizneez amesema.

Msikilize hapa chini.

 

#TuzungumzeMuziki.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa