Dogo Janja Aeleza sababu za wasanii wengi kuiga muziki wa Nigeria

Dogo Janja Aeleza sababu za wasanii wengi kuiga muziki wa Nigeria

Kumekuwa na maoni mengi juu ya swali la Team tizneez yakuwa Kipi chanzo cha wasanii wengi wa Bongo Fleva kuiga muziki wa Nigeria? na tumeweza kupata mitazamo ya watayarishaji wawili wa muziki wa kizazi kipya ambao ni Chizan Brain na Bea.

Lakini kama haitoshi Team tizneez tumeamua kurudi kwa upande wa wasanii kujua mtazamo wao ukoje.

Na Dogo Janja anafungua pazia hili kwa kueleza mtazamo wa kwanini wasanii wengi wanaiga muziki wa Nigeria?

Msikilize hapa akijibu.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa