Bongolow – WAPE Video Shoot

Bongo Records chini ya Music Producer and Godfather wa Bongo Fleva, P Funk Majani wakishirikiana na Wanene chini ya usimamizi wa Karabani kama Video Director wa WAPE. Kwa pamoja wanakuletea video ya kwanza ya kundi jipya kabisa la muziki wa kizazi kipya BONGOLOW.