Barnaba Atoa mtazamo juu ya wasanii wa kike wanaoigana kwenye muziki.

Barnaba Atoa mtazamo juu ya wasanii  wa kike wanaoigana kwenye muziki.

Kuigana kwenye muziki hasa kwa wadada imekuwa ni jambo endelevu kila kukicha kwenye muziki wa kizazi kipya.

Kwa kuwa Barnaba ni  moja kati ya watunzi wakubwa ambaye anaongoza kutungia nyimbo wadada wengi kwenye muziki wa kizazi, Team Tizneez tumezungumza nae ili kujua mtazamo wake ukoje juu ya wasanii waengi wa kike kuigana katika uimbaji?

Barnaba amejibu, msikilize hapa chini.

#TuzungumzeMuziki