Usipime Remix By Baghdad Feat Pthemc, Zaiid,& Dully Sykes Lyrics

marekebisho

Chourus

Dully Sykes

Uspime ujue mimi bado number moja

Utanieleza nini we kinyago mi mashine

naefanya kazi kama soja unavyoniona hivyo ndivyo nilivyo

Uspime ujue mimi bado number moja

Utanieleza nini we kinyago mi mashine

 

Vers

Baghdad

Kwenye Rapa sensei nimezaliwa ushuwani ingawa sipajui obei
Nikikupa bei unipe pei maji kampe ray

Jibwa lisilopotezwa kwa miluzi
Majani ya chai natumia ngada kampe mbuzi

Ado ado sio november
Ukisikia Yesu kafufuka jua sio december

ujanja sio six park madem wanafata mkwanja kwa vibabu kwenye game manjemba

Kuna boom mbili moja ya movie moja chuo
Ukipata room mbili badili maisha na nguo

Madrasa na mlimani vyote vyuo
kinaanza cheti cha ndoa ndipo mitiani wa kulala bila nguo.

Radhi ya kuuona utupu wa mwenzio
Inabeba siri anayoijua muumba na mwenzio

Siku hizi machujio yashakuwa chekecheo
na Chuma akinanoi chuma ni banio kwa fagio

Usije kosa imani ukapiga mbele loba
Ukadaanganywa mawazo yanatolewa na viroba

Ukisikiliza waswahili utaishia kwenda loga
na Ukifuata ya wahuni utaishia kwenda soba

Chourus

Dully Sykes

Uspime ujue mimi bado number moja

Utanieleza nini we kinyago mi mashine

naefanya kazi kama soja unavyoniona hivyo ndivyo nilivyo

Uspime ujue mimi bado number moja

Utanieleza nini we kinyago mi mashine

 

Ves 2

Zaiid

Haina shikide kama dully,nisikize kama nguli
Navurugu vurugu mechi  nawachimbia kaburi,

…..Matozi wajiweka pooz,
Najiweka sura ngumu najiweka flowz,

…….madem wajileta koz ,
Mindo yule Rapa napiga mabreka joo ,

.. Naswich ka black rhyno dandada ,
Bit ka sindimba nakuwa nakaa mtwara,

….City to city nai to kampala ,
Bado minaleta  joto mithili ya Dar mchana ,

Birthday yangu nipewe jooketi ,
Ndoo keki,Ndoo freshi..so kesii ,

… Weusi kunguru joo cheki ,
Mchizi mi namwaga Mitindo njoo udeki ,

Mashabiki siku hizi ndo feki,
Ati zaiid anaponda apate kiki njoo ucheki,

Hahaaa..Kwenye gem Niko shega,
Kuna watoto wengi kwenye gem ndiko leba,

Nishatega nikirusha hizi punch  Ni kaseba,
Ndo mana nachinja mashabikibi wenu wako eda

 

Chourus

Dully Sykes

Uspime ujue mimi bado number moja

Utanieleza nini we kinyago mi mashine

naefanya kazi kama soja unavyoniona hivyo ndivyo nilivyo

Uspime ujue mimi bado number moja

Utanieleza nini we kinyago mi mashine

 

Ves 3

P The Mc

Wanachukia sana wakiona mwana napanda dau/
Japo sidharau wote mainstream na underground/

Kinyang’au…..I really murder dem up/
Hiki kipaji kimeshuka straight up from above/

Saluti zote zije kwako my mother/
Ulisema nischoke mwanao ni try harder/

Ukweli kwamba sijafika nitakapo/
But i thank God nimerekebisha michakato/

Kiwalani is on my shoulders now,
Am takin over now/

Hiphop is like an army… Am the souljah now/
Mtandaoni wazidi post ushoga now/

Dili ni kuwasaka mmoja mmoja tule mboga zao/
wanachukia kuona vile mwana I do both/

Flows and lyrics, dope ka niko New York/
sa Ngoja siku ile umna hang juu ya FuSo/

Na ride kwenye bonge la beamer niko na bull dog/
Ziba A natoka na plan B/

Na  utafeel pain siku unaniona na sign deal/
Mi ndo M A W E N G E /
Kwenye U S I P I M E /

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez