Usimsahau mchizi Lyrics By Roma X Moni

 

Huu ni wimbo mpya wa Roma pamoja na Moni, na hapa tumekuwekea mashairi yake.

Usimsahau mchizi Lyrics By Roma X Moni

(Beat starts)

Aaaah!!
Bin Laden!! (Tongwe Records)

Majengo sokoni wazazi wametulea kwa kuuza gongo/

Ambapo kujiuza na drugs ndo’ viinua mgongo/

Maskini vipofu matajiri ni chongo/

Miaka 20 siyo percent nishatishiwa na Maisha ya Bongo/

Ndo’ maana sichange sura kwa upasuaji wa plastick/

Moni ni Ambiguity kwenye maisha ya semantic/

Chuki timu pinzani na inashindaga hat tricks/

Maisha yetu keshayachora kipanya the artist/

Kila kona ya mtaa wamejaa watu na viatu/

Watu hawana kazi na wanapata mahitaji matatu/

Kama uliyoyashika ni hayo makuu mbele ni shimo/

Zilimopita nyayo za miguu ya mbele ndimo/

Zilimopita nyayo za miguu ya mbele ndipo/

Ninapopita Moni ili kuyasaka malipo/

Nishajimix kwenye viduka,vibanda vya Mr kucha/

Sikupata mbuni wala senti ya Hassan Mwinyi ruksa/
πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ CHORUS:
Wanangu Wa street life wanangu Wa kidato mpaka chuoni Γ— 4

Now & Then usimsahau mchizi Moni Γ—4

VERSE: 2

Am angry give me a gun let me kill this coackroach/ Coz am hungry ok kneel down (Cock then Gunshot)/ Nanasi Siyo tango kulila inahitaji mpango/ Na Ukiwa una mpango wa Kando haina maana mkeo hajui mambo/

Ukitaka kumkomoa Kahaba utaipasua tu condom/ Au utamchubua kimahaba ujikomoe kisa nyagi na phantom/

Na utajuta ukisha (mmmh) aaaf Kahaba anauvuta mpunga/ Wala hajali kama mpishi anayesonga ugali wa mfungwa/

Wanaunyea mkono Wauza sura (Yes) siukati nauosha/ Wanakula hadi nyama ya chura ingawa wana rasta ka’ Ngosha/ Inachosha natamani kusema inatosha na nawa Torture hadi wasisite kusema mi ndo’ kocha/

Vijana hupasahau nyumbani wakishapagawa na jiji/ Usimkere jirani akikunyima hifadhi ya fridge/

Kitaa kimeingia shetani mimi ustaadh nimetoka hiji/ Najiuliza nimuokoe nani kila mwamba anajiona Gwiji/

Na anayeithamini tungi ataidharau tochi/

Penalty inahitaji ufundi utapaza ukipiga dochi/
Mungu wa Roma (note) Ndiyo Mungu wa bakhresa/ Mimi Nina singda kwenye goti So don’t mess up/

CHORUS:
Wanangu Wa street life wanangu Wa kitaani mnanisoma Γ— 4

Now & Then usimsahau mchizi Roma Γ—4

 

Mwisho.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Tuachie maoni yako hapa

Attachment