Upo hapo Lyrics By Ay, Fid Q & Mwana FA

UPO HAPO:

Verse 1: FA –

Mipango baaba,baba sihitaji shida za waana mipango ya namba/
Mipango baaba,baba sihitaji shida za waana mipango ya namba/
Nanukia vizuri kama duka la perfume/
Usiniite muhuni huwezi pata harufu ya ndumu/
Hata beat sio kubum,kubam ya kibishoo/
Ila wana bado wakavu bishoo usilete hizoo/
Najua kona zote kama ufagio wa zamani/
Vichaka na chocho zote macho tu bila ramani/
Ni kudra na mwanadamu nazi haishindani na jiwe/
Lilopangwa liwe/ Buggy jeans swag sio ya miaka 17,we baba/(mzee baba)/
Unataka vita na Mafia/ Dili za mabilioni na bado tai huzioni/
Winning together,wanangu begani/ Utanipenda bob,wananiitaga mastermind/
Mipango kwangu inachipua haina end/ Uncle FA,FAscobar usilete uchimvi/
Navua gloves ila bado naupenda ugomvi/

Chorus:

Upo hapo x4

Verse 2: AY-

Hell Yeah kwa beat ya Hermy B/ Fareed,FA,AY Salu-te/
Mzuka umefufuka toka enzi za ECT/
Kikosi mstari wa mbele na nyuma haturudi/
Uh,kaa mkao wa kula kama ulivuna/
Pambana na hili shangwe lisije likakutafuna/
Tamani vyote ila chagua vya kumung’unya/ Damn…
Make sure mfuko umetuna/
Kwenye giza mkononi mie nina tochi/ Kuna vikosi mikosi gozi gozi /
Kamata wa pembeni yako upige bao/ Fanya yako usione hatari kama kuna wanga kibao/
Na MasterCard mfukoni / Nimenyuka pamba kimtoni/ Na sura ngumu kama stone/
Ukijichanga tu hauponi/ Biashara Asubuhi mpaka Asubuhi so jipange tu hommie/
Muchiri waambie aterere ndio nini/ Vibe liko juu kwanza mkeka haujachanika leo/
Tank liko full leo masinema si video/ El-Capo bado nipo nipo so nanyatia chipo chipo nisitoke draw UPO??

Chorus:
Upo hapo x 4

Verse 3: Fid Q –
Mie ndio yule, MJAMAA anayejua hadi anaboa/
Kilichofanya nikakua sio RAHA ya NDOA/
ni kuzitua TAMAA na NJAA kuitoa/ ninapoamua.. kukamua.. mnajua.. inakaa poa/
Niko tight kama CHABUNENE ndani ya SKINNY JEANZ/
hautaki kuja kati? MOONWALK kama BILLIE JEAN/
WAZEE dili ni nini?/ aisee mna akili nyinyi 👍🏿 / mie nina SIRI ya MJINI/
na ya UTAJIRI amini/ mnajua mie NINAJITAMBUA kitambo../
NAWANYWESHA uhalisia ili MUUCHEUE ule ukweli wa mambo/
SITAKI huko mbele ibaki MISELE au MAJUTO au MILUPO kuwa TELE.. yabaki MADUSKO MFUKO wa MAFAO/
kuna MAISHA baada ya GROUPIE LOVE sio KUTI KAVU, MASHUTI NYAVU.. MAMLUKI hamnikuti bado mpo DOWN•••
Chorus:

Upo hapo x4

Outro:

Mipango baaba,baba sihitaji shida za waana mipango ya  namba

Credits:
UPO HAPO?..
FA,AY & FID Q
Produced by Hermy B @ B HITZ
MKITO