UNA AKILI WEWE Lyrics by BAGHDAD Feat ROMA

roma & baghdad

Intro
Gunia la gomba lingeuzwa jero
Issam touches!
Geof Master!
Zigi nayo ingeuzwa laki
Eeh una akili wewe??

Verse
[Baghdad]

Hey, let’s pretend Ruge president

Roma Mkatoliki

Hahaha, duh mgombea mwenza awe 20
Percent

Baghdad

Ehee na spika ungemweka Jide

Roma Mkatoliki

 

Vipi kuhusu FA?

Awe jaji Lubuva, Rungwe ndo Profesa
Jay

Baghdad

Basi pretend Zitto Kabwe angekuwa
DJ

Roma Mkatoliki

 

Hahaha January underground anapiga
simu every day

Baghdad

Huku Tale na Fella ni wasanii bosi
Maromboso

Roma Mkatoliki

 

Inspekta ndo John Boko, mi ndo Juma
Nyoso

Baghdad

Michano ingekuwa Alikiba

Roma Mkatoliki

 

RnB aimbe Kalapina

Baghdad

Shilole angekuwa ndo Huddah

Roma Mkatoliki

Mwasiti angekuwa Meninah

Baghdad

Na Jux angekuwa ndo Sugu, kiongozi
wa vinega

Roma Mkatoliki

 

Midundo ya Tamaduni apewe Madee
Sneida

Baghdad

Platinum baby, angekuwa ndo Chidi

Roma Mkatoliki

 

Halafu Ngororo Ngororo, angeimba Fid

Baghdad

Linah angekuwa producer, Tuddy
ndo MC

Roma Mkatoliki

 

Hapo basi Baba Levo awe promoter,
rapper Ray C

Chorus
Aah natamani Big G ingeuzwa laki
Gunia la gomba lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema wangetinga kijani na yellow
(una akili wewe??)
Zigi nayo ingeuzwa laki
Gunia la bangi lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema nao kijani na yellow
Roma Mkatoliki

 

Igundulike Tiffah ni mtoto wa Linex na
Zari

Baghdad

Sawa!

Roma Mkatoliki

 

Jacqueline Wolper afu ndo alikuwaga
dalali

Baghdad

Halafu?

Roma Mkatoliki

 

Jokate Kidoti ye aje kuwa askari, Petty
Money awe wakiri hakimu Dimpo Omari

Baghdad

Waza Wema Sepetu nae kaolewa na
Kimbunga

Roma Mkatoliki

Kimbunga!?

Baghdad
Salama J ndo mjane wa Kanumba
Mtoto wa Mwamnyange na Msaga Sumu
wachumba
Ben Pol ngoma ya Sophia angeimba kama Tunda

Roma Mkatoliki

Okay, Mrisho mpoto angekuwa PHD
(hahaha)

Baghdad

Angeburuzaga totoz kinyama

Roma Mkatoliki

Huku Kala Jeremiah yuko THT

Baghdad

Hayo yangekuwa mafunzo ya
kumfunika Tid Mnyama

Roma Mkatoliki

Umeshawaza Ney Wa Mitego anafagia
barabara

Baghdad

Barabara?!

Roma Mkatoliki

 

Mr Blue nae awe konda wa daladala

Baghdad
Halafu na mzee Majuto ndo dingi yake Riz One
Mourinho atupwage Yanga na Mkwasa
afundishe Man

Chorus
Aah natamani Big G ingeuzwa laki
Gunia la gomba lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema wangetinga kijani na yellow
(una akili wewe??)
Zigi nayo ingeuzwa laki
Gunia la bangi lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema nao kijani na yellow
Baghdad

Umeshawaza Izzo B amuazime rasta
Afande?

Roma Mkatoliki

Nawaza Masogange amuazime tako
Dayna Nyange (heheheh)

Baghdad

Roma hizo akili za bange!

Roma Mkatoliki

Je vipi Watengwa wakimpiga Tunda
mande?

Baghdad

Dauda Shafii angekuwa Messi

Roma Mkatoliki

 

Ronaldo ndo Edo Kumwembe

Baghdad

Wajuma Khaji angekuwa msanii

Roma Mkatoliki

TB Joshua angekuwa Mwakyembe

Baghdad

Na bado nawaza Diva angekuwa
mchepuko wa Mengi

Roma Mkatoliki

(Aya ya ya mama yangu) tungeona
mengi

Chorus
Natamani Big G ingeuzwa laki
Gunia la gomba lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema wangetinga kijani na yellow
(una akili wewe??)
Zigi nayo ingeuzwa laki
Gunia la bangi lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema nao kijani na yellow

Outro
Tongwe Records!
We hizo ajenda zako hizo, Big G laki?!
Rizla zingekuwa zinauzwa laki wangetumia hata magazeti
Yoh, Baghidibi dabi dibi dabi dibi dabi dei
Viva Roma Viva
Wassup Daddy Bizze, Daudi Lucas, Picasso
Acha wivu Issam Sachi wewe