Tradin Bars Lyrics By Wakazi Feat One The Incredible

Tradin Bars Lyrics By Wakazi Feat One The Incredible

TRADIN BARS (Kisimani Album) Prod by @banostylez Mix & Mastered by @mujwahukii

INTRO: (Wakazi)
Kum kum kum kum kum
Kila mtu sema kum, kum kum kum kum kum
Watu wote sema kum, Kum kum kum kum kum
Kila mtu sema kum, Kum kum kum kum kum

VERSE: ONE (Wakazi)
Eyo erratically I flow use this beat as utensil/Murder by the first degree, with a pencil/Leave you filled up will lead/Don’t cross the yellow lines, but read between the lines instead/Nigga I got bars, I’m sorta like Sinza/I don’t care who you are, hata kama unatoka Sinza/Kwa Remy au Vatican kama papa/We vuma tu ila ukija kwangu mi nakung’ata/Mimi ndo fahari, Nyangumi wa marapa/Nilieinyea bahari, samaki kwa shombo nawaacha/Bars of soap, fumble dem, and get butt fucked/Ma bars is dope, and they smokin just by the ass crack/Bars leave you scratchin, John Dilinga Matlou/You got weak bars, I aint feelin that, at all/So take em lines back to the factory/And leave me and One, remain head of the faculty/

CHORUS:
Huu ni USTADI maridadi kwenye beat/Kiitikadi mi fisadi kimahesabu nipo fiti/It’s Wakazi…… Chillin na Moko wa miujiza/(Scratches)… Mwenye swali we Uliza/

Huu ni USTADI maridadi kwenye beat/Kiitikadi mi fisadi kimahesabu nipo fiti/We tradin bars, for all you all/In this business of rap, outta remind y’all/

VERSE: TWO (One Incredible)
You know I’m Tanzania finest, hold up mic check/I’m off the label I ain’t signed yet/You cowards like to beat around the bush, I’m direct/And you niggaz know I run the show, cause it’s my set/Ingawa sifanina nafananishwa, nafanya maisha fani/ fani inafanya maisha, so fani inafanikisha/Amani baba na mama, nina amani kwenye fikra/Ghani kwenye kichwa, na hakuna mpinzani wa kunitisha/Sina beef na wajinga, nazozana na Muda/Mswahili navyofanana na Lugha/Ili nifanikishe lengo, ni matendo na kuachana na wapuuzi flani, ma snitch ka Yohana na Yuda/Back to the matter at hand, why I look and sound like your favorite/Cause the flow is magic, I sound like I made a wish/Nawakilisha East A, TZA, nakimbiza rap, you should take a trip/Chata kote, nakimbiza chaka zote/Unaposkia nipo ndani, ndio wanapotaka wa toke/Vyovyote unataka okay, wananiita Mtata/Kwenye kurasa za rap nasomeka chapter zote/