TORATI YA MTAA (LYRICS) By Chindo Feat Wakazi, Fidq & Dully Syskes

13267586_1077679952303069_826267261_n

TORATI YA MTAA (LYRICS)

INTRO (DULLY SYKES)
Wey lelele wey lelele ooh wey lelele lele lele yele o

VERSE 1 (CHINDO)
Hautafanya kazi ukipenda unachofanya/hautapata mafanikio ulimwenguni ka unahanya/changalizi ya chungu huua hata nduvu/lazma tuungane ili tupate nguvu/torati ya mtaa inasema usiwe fala/peace kwa ma partner Jacob Makalla/kitaani hatuitaji usnitch/acha mambo ya ki mmnn na tabia za ki witch/mtaani kwetu hakuna kuuzana/kuna matabaka kwenye shida ungana/Kuna muda tuunavutana/lakini mwisho wa siku tunakuja ungana/Familia ni kitu cha kati wakati mwingine tunakua na miikakati/Haribugi issue zingine lakini kwa nyumbani kunakuanga na Tooorati/Ma boy smoker nipe gwara/ontop of kili naweka bendera ya R/Niache mwanao usinshike shati/napita kati utafkiri nmegeuka sande manara/

CHORUS (DULLY SYKES)
Wey lelele wey lelele ooh wey lelele lele lele yele o
Torati ya mtaa, hatutaki ma witch, hatutaki snitch yeah/Torati ya mtaa, hey hey, hey hey, yele/Torati ya mtaa, tunaishi wabishi, tunaishi Kwa peace/Torati ya mtaa, hey hey hey hey

VERSE 2 (WAKAZI)
Nimezaliwa na wazazi, but the streets raised me/Nilizaliwa na kipaji but the streets made me/Crazy and yes still Incredibly stupid/Come here, yeah I’ll show you how to do this/I’m a street star, I don’t only bang on Twitter/Even on speakers, drop bass, mids and tweeters/Usiringe unapopita kwenye vilinge vya freestyle/Drop that new shit, yeah that’s me brah/Rule number 1, y’all should Stop snitchin/Wote Kimya, hata ukihojiwa na polisi/Ya nini umbea, wakati mitaa inaongea/Number 2, always represent mitaa unayotokea/Hustle hard, na hela zote ni halali/Mdomo wako Ndio utakao kulisha ka dalali/Nawakilisha mitaa ya Ukonga stakishari that’s it/Dully, Chindo na Ngosha, Hii ndo Torati/

VERSE 3 (FID Q)
Aaah, Anaekuchukia ni lazima atakutia hila/Anaekusifia nia ni kukupunguzia hasira/So cheza na hawa wawili vyema/ki clever ki akili tena/mkakati safi ndi ndi ndi classic ki Jidenna/Msaada ni sadaka kuupokea haulazimishwi/Unaweza fuata unachotaka au ukangojea URITHI/Na ukibebwa jishkize hiyo ndo Love/Usiwe kambale mwenye mali asivunjike mbavu/Usipigane pale utapoona haushindi/Au simama upambane,uwabane mtaani usionekane pimbi/Ugomvi wa mtaani mpaka mawe yanahusika/ili wapagawe,usichachawe we yagawe kiuhakika/Wachachawe kabisa, wainawe hii vita, mawe ukiyashika/ili nawe ukipita pawe na sifa mawe yanatishaaa/Shika mpini chanika ili usife njaa, na ukifika mjini dili ikilipa we jipe raha/